Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Siwezi mtaja lakini kaweka avatar ya muigizaji wa kiume(mmarekani)movie zake huwa ninazipenda sana.atakaepatia ni nani zawadi nono nitatoa[emoji41]
Rafiki mie nasubiri hapa ,nimjue huyu nakuombea upako ktk hili , walau lkn umenipa assignment kujua hii avatar


Cc@Chakorii
 
Hahahaha, haya Rafiki ,mtaje nami nimjue maana dah na hamu ya kumjua kweli kweli

Karibu Mangi anasinzia hapa
Haya namtaja kaeni kimya.

Ye naeee...mwambie huyo Mangi aache mambo ya ajabu nakuja sasahivi anasinziaje kiboya namna hiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…