Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Hahahaha, Rafiki bana

We umesema ana avatar ya muigizaji ujue,
Wewe yako ni spesho rafiki yangu.
Hakuna mtu mwingine humu ndani ninaemwita Rafik kipenzi..ni wewe tu..🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️

Kwahiyo popote ukiona “rafiki yangu”jua ni wewe tu🥂🥂
 
Wewe yako ni spesho rafiki yangu.
Hakuna mtu mwingine humu ndani ninaemwita Rafik kipenzi..ni wewe tu..[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]

Kwahiyo popote ukiona “rafiki yangu”jua ni wewe tu[emoji1635][emoji1635]
Ooh ahsante sana Rafiki kipenzi, ila hata hy avatar usemayo nayo ...mpk umeitaja Rafiki na zawadi kuweka
 
[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
 
Huyu dada sijui ako na Nini. Kila mtu anavutiwa nae, bora tuendelee kua na fake I'd mfano mume wake akiyapata haya si anatafuta binduki!
Hahaha huyu mdada ana nyota kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…