Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Kuna member mmoja aliwahi kuniambia kwamba, ananichukia sana eti kwasababu ya yale meno yangu ya hapa ndani..[emoji12][emoji12]
Kwakweli alijua kunichekesha sana wallah....[emoji851][emoji851]
Kweli mtu anaweza kumchukia mtu kwa avatar yake tu
 
Siwezi mtaja lakini kaweka avatar ya muigizaji wa kiume(mmarekani)movie zake huwa ninazipenda sana.atakaepatia ni nani zawadi nono nitatoa[emoji41]
Itakuwa Surya
SHIMBA YA BUYENZE
Extrovert
Eli79
Kama hapo hayupo basi itakuwa mimi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
yeah, nilkua na account flani ya kitambo tu sasa cjui niliwakosea nini mods wakaipiga ban, comments zako zinakujaga taratibu taratibu lakin tamu[emoji39]
 
yeah, nilkua na account flani ya kitambo tu sasa cjui niliwakosea nini mods wakaipiga ban, comments zako zinakujaga taratibu taratibu lakin tamu[emoji39]
Ulikuwa unatumia jina gani mkuu ili nipate kukutambua chap kwa haraka?

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Yeuwwwyeee😘😘😘😘kumbee..👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…