Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Kuna member mmoja aliwahi kuniambia kwamba, ananichukia sana eti kwasababu ya yale meno yangu ya hapa ndani..[emoji12][emoji12]
Kwakweli alijua kunichekesha sana wallah....[emoji851][emoji851]
Kweli mtu anaweza kumchukia mtu kwa avatar yake tu
 
Siwezi mtaja lakini kaweka avatar ya muigizaji wa kiume(mmarekani)movie zake huwa ninazipenda sana.atakaepatia ni nani zawadi nono nitatoa[emoji41]
Itakuwa Surya
SHIMBA YA BUYENZE
Extrovert
Eli79
Kama hapo hayupo basi itakuwa mimi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Yeuwwwwwyeee[emoji3344][emoji3344][emoji3344]Kumbe mwandiko wangu unasomwa sana [emoji8]

Ohooooo pole maskini [emoji17][emoji17]kumbee..basi utakuwa unaona comments zangu sawa ee...eheee..
[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
yeah, nilkua na account flani ya kitambo tu sasa cjui niliwakosea nini mods wakaipiga ban, comments zako zinakujaga taratibu taratibu lakin tamu[emoji39]
 
im huwa najikuta na fall in love na ile avatar yake kila nikiiona..!!
Je ni hii
1605842276104.png
 
yeah, nilkua na account flani ya kitambo tu sasa cjui niliwakosea nini mods wakaipiga ban, comments zako zinakujaga taratibu taratibu lakin tamu[emoji39]
Ulikuwa unatumia jina gani mkuu ili nipate kukutambua chap kwa haraka?

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Yeuwwwyeee😘😘😘😘kumbee..👏
 
Back
Top Bottom