Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hb nimeitika mkuu...🤠Je ni hii
View attachment 1630359
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hb nimeitika mkuu...🤠Je ni hii
View attachment 1630359
Mtaje sasa![emoji2986][emoji2986][emoji2986]No comment[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Dah...ungetafuta meno ya bandia mkuu.. 🤣 🤣🤭Kuna member mmoja aliwahi kuniambia kwamba, ananichukia sana eti kwasababu ya yale meno yangu ya hapa ndani..😜😜
Kwakweli alijua kunichekesha sana wallah....🤓🤓
Abadani simtaji😅😅.labda umshike mkono mguu kwa mguu umlete hapa.zawadi utapata😉Mtaje sasa![emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Tunasubiri zawadi nono[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Kuna mdada anakutafuta humu mkuu...Dah...ungetafuta meno ya bandia mkuu.. 🤣 🤣🤭
Dah..... 🤣 🤣Kuna mdada anakutafuta humu mkuu...
Eti amefili ini lavu wizi yuu...😜😜
Jammie foxxAbadani simtaji[emoji28][emoji28].labda umshike mkono mguu kwa mguu umlete hapa.zawadi utapata[emoji6]
😆😆😆😆😆jombaa anaetakiwa ni muigizaji mmoja umshike mkono umkabidhi kwanguJammie foxx
Au Idris Elba?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Si huyu huyu Anodi? Au ulitakaje babe ake!Hebu urudishe ila ya mwanzo kabisa.
Chakorii we sema tu, kama ni mimi japo sio mimi [emoji23][emoji23][emoji23]No comment[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
The Boss huyo bila shakaSiwezi mtaja lakini kaweka avatar ya muigizaji wa kiume(mmarekani)movie zake huwa ninazipenda sana.atakaepatia ni nani zawadi nono nitatoa😎
Idris Elba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]jombaa anaetakiwa ni muigizaji mmoja umshike mkono umkabidhi kwangu
Rudisha bwana.Si huyu huyu Anodi? Au ulitakaje babe ake!
Au tufanye ndo wewe.unaonaje Eli😆😆😆Chakorii we sema tu, kama ni mimi japo sio mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona husemi ni wewe😅😅😅au kwa sababu wewe unafoka foka na yoyooo kibao😅😅😅The Boss huyo bila shaka
Mi najua sipendwi na warembo kabisa humu sababu ya itikadi za mrengo wa kushoto😂😂😂 af sina pigo za kidukuliloMbona husemi ni wewe😅😅😅au kwa sababu wewe unafoka foka na yoyooo kibao😅😅😅
Bado hujapatia
😅😅😅😅ujue umezisumbua mbavu zangu extro.Mi najua sipendwi na warembo kabisa humu sababu ya itikadi za mrengo wa kushoto😂😂😂 af sina kali za kujimwambafayi zile
namie naipenda pia bebeWow thank you,tunakupenda piaa
Hahaha kumbe, tafta ile movie yake ya I'm in love with church girl hutojutia...Au nije nikuletee baadae.😅😅😅😅ujue umezisumbua mbavu zangu extro.
Aiseh hiyo avatar ya huyo Chief hapo naikubali sana..nikikuta kwenye movie yupo nakaa kitabu kuitazama.DW😘.
Bado moja hiyo ambayo niliikusudia mwanzo kabla Hujamweka DW
Ohooooo...Chief ndo umepotea kabisa ujue😅😅😅..na halafu Kwanini umemuita huoni kama unamsumbua wakati sio yeye