Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Taja avatar inayokusisimua hapa na uielezee

Avatar ya red giant...jinsi vile vidude vinavyorushaga makalio huwa vinanichekesha sana aisee.

Na kuna jamaa nimemsahau jina kwenye avatar yake amemuweka mwamba ana pua pana kama kikombe cha nusu lita.
 
Back
Top Bottom