Taja faida za kuishi peke yako

Kuwa single mkuu kunakupa uhuru wa kujiachia kiasi kwamba unapata Raha sana. Kwa mfano unaweza kwenda popote na ukakaa muda mrefu bila kuulizwa, uko wapi saa hizi?

Vile vile kwenye misosi unakuwa huru kuanzia aina, muda na wapi ukale. Mambo ni mengi, Kwa Leo hayo yanatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…