Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 684
Si ndio mkuu...chakula si nakula mwenyewe[emoji23] pazia au sing lendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio mkuu...chakula si nakula mwenyewe[emoji23] pazia au sing lendi
Being single probability ya stress ni 16.5% mean while ukiwa rileshenishipu sio probability tena ni assurance ya stress ni 200%[emoji3][emoji3]Nimeipenda hii
Ni kwamba wewe unavyopata furaha ukikaa na wanao,haimaanishi na mtu mwingine itakuwa hivyo hivyo.Kila mtu ana vipaombele vyake ambavyo vinampa furaha na utulivu,kama wewe umegundua watoto wako wanakupa furaha,Hongera ,wengine watoto siyo kipaumbele chao,na ndio Kuna singo maza kibao huko mtaani.sijawahi kuona faida ya kuishi mwenyewe..... ubinafsi uoga wa maisha na kutokua mwanaume kamili kunawaponza sana vijana wenzetu ukiangalia sababu nyingi ni uoga na ubinafsi alafu swala la uhuru ni jambo pana sana...
huwezi niambia nilale mwenyewe kama panga au nikae dinning mwenyewe kama mjusi Kisa uhuru sjui kunyetuka..... tukumbuke kama mwanaume ww ndio Mkurugenzi wa maisha yako unalotaka liwe litakua usikurupuke tu ukaona maisha machungu.....
Nafikiri furaha nipatayo na wanangu eti nianze kukaa mwenyewe alooo siwezi......
1.Nalala nnavopenda
2.Nakula nikiamua
3.Nikitoka hata nikilala huko huko hakuna anaeniuliza ulikuwa wapi.
Ni kwamba wewe unavyopata furaha ukikaa na wanao,haimaanishi na mtu mwingine itakuwa hivyo hivyo.Kila mtu ana vipaombele vyake ambavyo vinampa furaha na utulivu,kama wewe umegundua watoto wako wanakupa furaha,Hongera ,wengine watoto siyo kipaumbele chao,na ndio Kuna singo maza kibao huko mtaani.
Hii imenigusa sana 😭😭😭😭. Hope urassa kwanini umemwambia shida zetu. WHYmaisha sio kaburi, tafuta mwenzako muishi pamoja, matatizo ni sehemu ya maisha huwezi kuyakwepa kwa kuishi kivyako