Taja faida za kuishi peke yako

Taja faida za kuishi peke yako

Raha sana kama unajiendeleza na masomo.
raha sana kama ni mtu wa utulivu.
raha sana kama unapenda usafi.
raha sana kama hutaki stress.
raha sana kama unataka uwe creative haswa kama ni mfanyabiashara yenye competition (mm nauza tshirts)
Privacy na kulala vzuri.
 
Baada ya 14 years of marriage na vita visivyokoma Nilikubali kuwa mjinga
Nikamuachia kila kitu Kwa sababu ya watoto wangu. Nikaondondoka na Gari yangu na nguo tu. Nikaenda kupangisha Nikanunua fenicha nikaanza maisha upya kabisa from 0
Huu ni mwaka wa Tatu tangu nimekuwa Bachelor. Niko huru Sana. Nina furaha Sana
Ila sikuwahi kujua kuna kitu linaitwa Upweke
Hiyo hali ikija unatamani utafute tu mahali
hapafungwi usiku ukakae hapo
Upweke Ni tatizo lingine Na Nikifikiri kuoa upya Ndio naona narudi kule kule
 
TRUE MAN!!, Kama kusingekuwa na hii Hali ya upweke ningemaliza haya maisha yangu ya duniani peme yangu😁 isee
 
sijawahi kuona faida ya kuishi mwenyewe..... ubinafsi uoga wa maisha na kutokua mwanaume kamili kunawaponza sana vijana wenzetu ukiangalia sababu nyingi ni uoga na ubinafsi alafu swala la uhuru ni jambo pana sana...
huwezi niambia nilale mwenyewe kama panga au nikae dinning mwenyewe kama mjusi Kisa uhuru sjui kunyetuka..... tukumbuke kama mwanaume ww ndio Mkurugenzi wa maisha yako unalotaka liwe litakua usikurupuke tu ukaona maisha machungu.....

Nafikiri furaha nipatayo na wanangu eti nianze kukaa mwenyewe alooo siwezi......
 
Baada ya 14 years of marriage na vita visivyokoma Nilikubali kuwa mjinga
Nikamuachia kila kitu Kwa sababu ya watoto wangu. Nikaondondoka na Gari yangu na nguo tu. Nikaenda kupangisha Nikanunua fenicha nikaanza maisha upya kabisa from 0
Huu ni mwaka wa Tatu tangu nimekuwa Bachelor. Niko huru Sana. Nina furaha Sana
Ila sikuwahi kujua kuna kitu linaitwa Upweke
Hiyo hali ikija unatamani utafute tu mahali
hapafungwi usiku ukakae hapo
Upweke Ni tatizo lingine Na Nikifikiri kuoa upya Ndio naona narudi kule kule
Jomba uko sahihi, sometimes una hisi kuna kitu kina pungua.
Aisee hii ni hatarii.
 
FB_IMG_1713552444791.jpg
 
Back
Top Bottom