The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Asa nini mkuu kwani pazia lako?[emoji23][emoji23][emoji107][emoji107][emoji41][emoji41]
Kwanini muishi peke yenuFaida ni mingi.
Watakuja kukuambia unaishi peke yako kwani upo kaburini?
acha ukorofiKwanini muishi peke yenu
Shauriyo na huko kibosho Kuna baridiacha ukorofi
Siku tukifa tuwe tumeshazoea kuishi pekeetu
Unakunywa maji kwenye jagiHahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
Kibosho ya wapiShauriyo na huko kibosho Kuna baridi
Ya kina UrasaKibosho ya wapi
TRUE MAN!!, Kama kusingekuwa na hii Hali ya upweke ningemaliza haya maisha yangu ya duniani peme yangu😁 iseeBaada ya 14 years of marriage na vita visivyokoma Nilikubali kuwa mjinga
Nikamuachia kila kitu Kwa sababu ya watoto wangu. Nikaondondoka na Gari yangu na nguo tu. Nikaenda kupangisha Nikanunua fenicha nikaanza maisha upya kabisa from 0
Huu ni mwaka wa Tatu tangu nimekuwa Bachelor. Niko huru Sana. Nina furaha Sana
Ila sikuwahi kujua kuna kitu linaitwa Upweke
Hiyo hali ikija unatamani utafute tu mahali
hapafungwi usiku ukakae hapo
Upweke Ni tatizo lingine Na Nikifikiri kuoa upya Ndio naona narudi kule kule
Dah mkuu uko sahihi, sometimes una kuwa bored kinyama.TRUE MAN!!, Kama kusingekuwa na hii Hali ya upweke ningemaliza haya maisha yangu ya duniani peme yangu😁 isee
Jomba uko sahihi, sometimes una hisi kuna kitu kina pungua.Baada ya 14 years of marriage na vita visivyokoma Nilikubali kuwa mjinga
Nikamuachia kila kitu Kwa sababu ya watoto wangu. Nikaondondoka na Gari yangu na nguo tu. Nikaenda kupangisha Nikanunua fenicha nikaanza maisha upya kabisa from 0
Huu ni mwaka wa Tatu tangu nimekuwa Bachelor. Niko huru Sana. Nina furaha Sana
Ila sikuwahi kujua kuna kitu linaitwa Upweke
Hiyo hali ikija unatamani utafute tu mahali
hapafungwi usiku ukakae hapo
Upweke Ni tatizo lingine Na Nikifikiri kuoa upya Ndio naona narudi kule kule
Nayo kukaa kimya asubuhi mpaka usiku huongei ni kisanga!!🤣🤣Dah mkuu uko sahihi, sometimes una kuwa bored kinyama.
Movie au Nyimbo havi tazamiki😆