Taja faida za kuishi peke yako

Kunywa chai au maji kwenye jagi, kuoga siku ukijisikia, kulala muda wowote ule utakaojisikia. Kwa kifupi unaishi ule uhalisia wako. Ukiwa kwenye relation utakuwa mnafiki mnafiki kujifanya mstaarabu ili kuji adjust accordingly na matakwa ya mpenzi wako. HASARA. Watu watakuona umepoteza mwelekeo wa maisha. Nawasilisha
 
1.Nalala nnavopenda
2.Nakula nikiamua
3.Nikitoka hata nikilala huko huko hakuna anaeniuliza ulikuwa wapi.
Ni kwamba wewe unavyopata furaha ukikaa na wanao,haimaanishi na mtu mwingine itakuwa hivyo hivyo.Kila mtu ana vipaombele vyake ambavyo vinampa furaha na utulivu,kama wewe umegundua watoto wako wanakupa furaha,Hongera ,wengine watoto siyo kipaumbele chao,na ndio Kuna singo maza kibao huko mtaani.
 
Jibu la hekima sana hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…