Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme.

Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
 
Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru

Na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme!!!

Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
Nashangaa namna ccm ITAENDA TOKA Madarakani, nashangaa ccm wanavyojivunia kukopa, nashangaa sion speech ya mkuu wa nchi ya kufunga mwaka
 
Makamba Jr, Mwigulu na Nape kutokujiuzulu licha ya kelele zote walizopigiwa na wananchi!
 
Nashangaa namna ccm ITAENDA TOKA Madarakani, nashangaa ccm wanavyojivunia kukopa, nashangaa sion speech ya mkuu wa nchi ya kufunga mwaka
Mbona nasikia ameongea na watanzania ila sijajua kama kuna jipya maana wananchi wamebanwa kila kona na Kodi + tozo + inflation.
 
Bei ya vitu kupanda mara dufu , zaid , baada ya kifo cha mwana mageuzi
 
Nape kudeki Lami kama ishara ya kuchanganyikiwa baada ya kichapo kitakatifu kutoka kwa John Heche.
 
Back
Top Bottom