Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

Kila kitu kilinishangaza kwakweli, nimetumia muda mwingi kushangaa
 
Watanzania wengi hasa middle class kuendelea kutegemea watu wengine, wawapiganie katika kudai haki zao hasa kwa kulalama hapa JF, hakuna push back
 
Watanzania wengi hasa middle class kuendelea kutegemea watu wengine, wawapiganie katika kudai haki zao hasa kwa kulalama hapa JF, hakuna push back
😄😄😄😄😄😄
 
Hali mbaya sana
Sijui hata Kama hiyo speech aliyoitoa ina tumaini lolote.
Mkali wa kuongea na wananchi atabaki Kikwete tu, kila mwisho wa mwezi na watu wanatune redio na TV zao na wengine kukaa Diamond Jubellee kumsikiliza akiwapa matumaini watanzania na vicheko viingi dah🤣🤣
 
Lionel Messi kufunga bao Katika kila hatua ya kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar.
 
Back
Top Bottom