technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
TLP haina mwenyekiti hadi leo na ccm hawajaletwa zengwe la kushadadia ichaguzi ufanyike.Kutoka Jela hadi Ikulu
Nashangaa namna ccm ITAENDA TOKA Madarakani, nashangaa ccm wanavyojivunia kukopa, nashangaa sion speech ya mkuu wa nchi ya kufunga mwakaBinafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru
Na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme!!!
Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
Makamba Jr, Mwigulu na Nape kutokujiuzulu licha ya kelele zote walizopigiwa na wananchi!Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru
Na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme!!!
Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
Mbona nasikia ameongea na watanzania ila sijajua kama kuna jipya maana wananchi wamebanwa kila kona na Kodi + tozo + inflation.Nashangaa namna ccm ITAENDA TOKA Madarakani, nashangaa ccm wanavyojivunia kukopa, nashangaa sion speech ya mkuu wa nchi ya kufunga mwaka