MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Ahaaaaa....kama ya kondooUtaona walivyo na mapembe yao mafupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaaa....kama ya kondooUtaona walivyo na mapembe yao mafupi
Hiyo list yako sijui hata mmoja labda huyo namba moja au hao wengine mamluki mkuuNaamini kabisa kwamba wote tuliopo humu jf tuna umuhimu wetu kwa namna moja au nyingine ila hata hivyo haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya wenzetu humu ( members ) ambao michango yao na uwasilishwaji wake huwa na mvuto sana kiasi kwamba inafika muda mtu unakuwa una hamu sana siku itokee tu uweze kuonana nae au umuone mubashara kabisa ili roho yako isuuzike.
Hivyo leo nimeona siyo vibaya nikiwashirikisheni nanyi ili kwa pamoja tuweze kuwataja hao members au member ambaye labda unaombea usitangulie kwanza kwa Mwenyezi Mungu Mbinguni kabla bado hujaonana au hujakutana nae kwani labda unampenda kiuchangiaji wake humu na anakuvutia sana na kila mara hukosi kumfuatilia mabandiko yake au mada zake.
Kwa kuanzia tu mimi natamani sana siku moja niweze kuonana na hawa members wa jf wanaonivutia na kunifurahisha mno hasa kwa aina ya michango yao na hata uchangamfu wao wa kiuchangiaji:
Karibu na Wewe Mkuu uweze kutaja members wako unaowakubali sana hapa jf.
- Maxence Melo
- Mike Mushi
- Asha Dii
- Bridger
- Active
- Reserved
- Silencer
Wewe unahatari...yani unataka kuonana na Mods..?Kwa kuanzia tu mimi natamani sana siku moja niweze kuonana na hawa members wa jf wanaonivutia na kunifurahisha mno hasa kwa aina ya michango yao na hata uchangamfu wao wa kiuchangiaji:
Karibu na Wewe Mkuu uweze
- Maxence Melo
- Mike Mushi
- Asha Dii
- Bridger
- Active
- Reserved
- Silencer
Ooh Thanks Mr... Mungu akipenda tutaonana
Mkuu me mwenyewe nataka kumjua miss natafuta sasa badili mawazo.Miss natafutaa
Sema upo kwenye swaumu tu. Ila ningekuambia kituDaby kabahatika Shem wangu
Mezea shem mwezi upiteSema upo kwenye swaumu tu. Ila ningekuambia kitu
Haha. Haya.Mezea shem mwezi upite
Team kiba hiyo
Sunter ndio naniii
UkishanionaMi nataka nikuone ujue