Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishaniona
Na kikiharibika kituTutapanga cha kufanya..hakitaharibika kitu
Na kikiharibika kitu
Ningeanza na wewe mtoa mada maana najua una undugu na huyu hapaNaamini kabisa kwamba wote tuliopo humu jf tuna umuhimu wetu kwa namna moja au nyingine ila hata hivyo haiondoi ukweli kwamba kuna baadhi ya wenzetu humu ( members ) ambao michango yao na uwasilishwaji wake huwa na mvuto sana kiasi kwamba inafika muda mtu unakuwa una hamu sana siku itokee tu uweze kuonana nae au umuone mubashara kabisa ili roho yako isuuzike.
Hivyo leo nimeona siyo vibaya nikiwashirikisheni nanyi ili kwa pamoja tuweze kuwataja hao members au member ambaye labda unaombea usitangulie kwanza kwa Mwenyezi Mungu Mbinguni kabla bado hujaonana au hujakutana nae kwani labda unampenda kiuchangiaji wake humu na anakuvutia sana na kila mara hukosi kumfuatilia mabandiko yake au mada zake.
Kwa kuanzia tu mimi natamani sana siku moja niweze kuonana na hawa members wa jf wanaonivutia na kunifurahisha mno hasa kwa aina ya michango yao na hata uchangamfu wao wa kiuchangiaji:
Karibu na Wewe Mkuu uweze kutaja members wako unaowakubali sana hapa jf.
- Maxence Melo
- Mike Mushi
- Asha Dii
- Bridger
- Active
- Reserved
- Silencer
Ushafika enhee nenda post za mwanzon ukijioneSema upo kwenye swaumu tu. Ila ningekuambia kitu
Mzee hii ngumu kumesaUshafika enhee nenda post za mwanzon ukijione
Ha ha ha nenda mzee Mie unipe hata miguu mitano niweke frame tuMzee hii ngumu kumesa
Hahaha hahaha . Kwqni ananipa mita ngapi mzee.Ha ha ha nenda mzee Mie unipe hata miguu mitano niweke frame tu
Mie sjajua utapewa ukubwa gan ila unipe hifadhi
Wacha tumsubiri nimemcc.Mie sjajua utapewa ukubwa gan ila unipe hifadhi
UshaanZa na kubadil lugha mzee duuhWacha tumsubiri nimemcc.
Sehemu kama hizo lazima un'gen'ge ukae vizuri bwana. Zile yes you know kwenye comments hazitaniisha jiandae kutafuta dictionary [emoji3][emoji3]Ha ha ha huku kwetu kama kalambwnda mkazuzuz
Ha ha ha usjal mzee ukifika muda wa kuandikishiana niite Mie kama shahid hata dole gumba linatoshaSehemu kama hizo lazima un'gen'ge ukae vizuri bwana. Zile yes you know kwenye comments hazitaniisha jiandae kutafuta dictionary [emoji3][emoji3]