MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Umekutana Na Mmoja wa hawa??? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ugwe ugwe [emoji23]
Songoma wengi sana.Songoma
Jidulamabambasi.wakuu mambo ni vipi
Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia.
Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo.
Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali nyingine