Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

Triple nine , word word seven aisee sjawah kutana na wengne wenye haya majna kama wapo mnijuze
 
Rabii ambalo ni Jina langu, kwakweli Hadi najiuliza hili Jina Wazazi wangu walilipata wapi... Sijawahi kabisa kulisiikia hili Jina zaidi ya Rabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…