Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakula $583pwk(per week)..nyie pigeni propagandaHiyo buku 70
Toka uzaliwe ushaipata kwa siku?
Hahaha du! &583nakula $583pwk(per week)..nyie pigeni propaganda
Hajui huyo aende akamuulize mwana CCM Anna Tibaijuka atamwelezea kuwa hiyo ni hela ya mboga tu, tena ya kununulia vitunguu tuu hapo bado makorokoro mengine!!Hahaha du! &583
Ungejua hiyo ni pesa sa mboga wala usingeli tapika
Sijawahi soma comment ya huyu kiumbe anaongoza kunichefua huwa napita shaaMudawote
ha ha I too ,...simiyu nini sijui anajiitaYule aliyeweka picha ya prof muhongo, nikiona amecomment huwa napita hata sitaki kujua amendika nn.. Naona kama ni mtu anayeongoza kunikera.. Napendekeza jamii forum waweze kuweka block. Kama mitandao mingine ili nisiweze hata kumuona kabisa
SIMON MATO
ha ha probably jana hakutumiwa buku 7 yake hata mimi huwa simkubalileo sijui hana hela ya bando ....... akishapata jero la kujiunga anaanza mapumba na linamba la simu kaweka anatafuta kiki kuna mahali nimeona amekoment ati anapigiwa sana simu watu wajifunze kutoka kwake nilicheka mpaka nilkapaliwa kabisa
ha haLINGEKUA GROUP LA WHATSUP HUYU LIZABON ANGESHAKUA REMOVED
Bk 7 ndizo unazovimbia nazo hapa poole weyeHahaha du! &583
Ungejua hiyo ni pesa sa mboga wala usingeli tapika
Nahisi una yako....sijawai kuandika kitu kikashindwa kuisaidia jamiiiMimi huyu wakuitwa kikoozi sijawahi ona kaandika point.
si watanitaja kama wapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hajui huyo aende akamuulize mwana CCM Anna Tibaijuka atamwelezea kuwa hiyo ni hela ya mboga tu, tena ya kununulia vitunguu tuu hapo bado makorokoro mengine!!