Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Mimi nimeambiwa hoja zinazoniboa.......sijaambiwa suala la itikadi. Nimejibu kuboreka kwangu tu......
 
Mtaumiza roho sana............Lumumba ndio inatawala nchi. Habari ndiyo hiyo............!!!!
 
Yule aliyeweka picha ya prof muhongo, nikiona amecomment huwa napita hata sitaki kujua amendika nn.. Naona kama ni mtu anayeongoza kunikera.. Napendekeza jamii forum waweze kuweka block. Kama mitandao mingine ili nisiweze hata kumuona kabisa
ha ha I too ,...simiyu nini sijui anajiita
 
SIMON MATO
leo sijui hana hela ya bando ....... akishapata jero la kujiunga anaanza mapumba na linamba la simu kaweka anatafuta kiki kuna mahali nimeona amekoment ati anapigiwa sana simu watu wajifunze kutoka kwake nilicheka mpaka nilkapaliwa kabisa
ha ha probably jana hakutumiwa buku 7 yake hata mimi huwa simkubali
 
Back
Top Bottom