Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Hapo sasa unatengeneza thread yako orodha na sababu vitu viwili tofaut au labda uwe umepiga faru jon ndo waweza ona vipo sawa
Mkuu huna sababu naona nikuache, hakuna haja ya uzi wakati nimekuuliza tayari. Ungekua nayo ungejibbu hapa
 
Huyu lizbon kama bado yupo humu na same id ..aisee ana moyo
 
Huyu lizbon kama bado yupo humu na same id ..aisee ana moyo
Huyo jamaa nasikia alishajikatia tamaa siku nyingi kushabikia fisiem baada ya kuona anapoteza muda ; hivyo kwa aibu aka left na jf.
 
Back
Top Bottom