radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Hapo sasa unatengeneza thread yako orodha na sababu vitu viwili tofaut au labda uwe umepiga faru jon ndo waweza ona vipo sawaMaana yake kuna sababu ya wewe kuchukizwa nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa unatengeneza thread yako orodha na sababu vitu viwili tofaut au labda uwe umepiga faru jon ndo waweza ona vipo sawaMaana yake kuna sababu ya wewe kuchukizwa nae.
Mkuu huna sababu naona nikuache, hakuna haja ya uzi wakati nimekuuliza tayari. Ungekua nayo ungejibbu hapaHapo sasa unatengeneza thread yako orodha na sababu vitu viwili tofaut au labda uwe umepiga faru jon ndo waweza ona vipo sawa
Hivi ukiambiwa orodhesha majina au taja vitu ana maana gani?Mkuu huna sababu naona nikuache, hakuna haja ya uzi wakati nimekuuliza tayari. Ungekua nayo ungejibbu hapa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karudi school anasomaView attachment 405667
Jibu hoja ya kwenye komenti achana na post ndio tutaelewanaHivi ukiambiwa orodhesha majina au taja vitu ana maana gani?
Jibu hoja ya kwenye komenti achana na uzi ndio tutaelewanaHivi ukiambiwa orodhesha majina au taja vitu ana maana gani?
Post inasemaje?Jibu hoja ya kwenye komenti achana na post ndio tutaelewana
Post ndo inavyosema?Chuki ni kidonda...
Usiku mwema
Huyo jamaa nasikia alishajikatia tamaa siku nyingi kushabikia fisiem baada ya kuona anapoteza muda ; hivyo kwa aibu aka left na jf.Huyu lizbon kama bado yupo humu na same id ..aisee ana moyo