Kila kona nipo mimiNakuona na huku upo pia
Yes! Hamorapa...Hamorapa
wewe usimtusi mke wangu kukataliwa kwako usipayuke kama .......................Labda sio mkeo mama haambiliki. Sijui umemuambukiza domo hawezi kunyamaza [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bashite sawa. Ila unaijua cv ya mkeo ya mapenz au alikuonyesha ya taaluma tu!wewe usimtusi mke wangu kukataliwa kwako usipayuke kama .......................
Kafungiwe na mkeo huko.Shemeji sijui unatoa wapi ujasiri wa kunifungia pm...basi acha niingie halafu afunge nibakie huko ndani
Tooooba!! Kumbe kachawi.Njoo nikufundishe uchawi na mimi nitamsahau mkeo na sitakuwa na shida naye.
Siongei nae tena.unashangaa kufungiwa pm
ngoja ni update relationship agreement utakua huongei naye kabisa
Hahaha.... na samari yangu usisome hahahaHovyooooo.
Usiniongeleshe.
Achana nalo bashite hilo.wewe usimtusi mke wangu kukataliwa kwako usipayuke kama .......................
KananiTooooba!! Kumbe kachawi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]