TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
We ni wa system? Hongera sana!!!Kwaiyo unajiona wewe hujulikani?
Hiyo email yako tu tunaweza tukakupata popote acha ujinga
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kumbe umebadili username?Feza Primary School -hapo "Daa"
Zimbihili. DemaKinyerezi primary
shule ya msingi Yamu-kirua vunjo, katika kipindi chetu tulitembelewa na wageni wa serikal,mama zakia megji, pr sarungi na mkuu wa mkoa kipindi hicho. tulipewa nguruwe wa mradi
wakati fulani zilipita parachut 2 mwalim mkuu akagonga kengele ishara ya kitu chaajabu ambacho hakijawai kushuhudiwa na mtu yoyote, tulijificha chini ya madawati na waalimu.
[emoji3] [emoji3] [emoji111] changamsha gengeWe ni wa system? Hongera sana!!!