Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Wilaya maskini zaidi nchini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna ngoma mpya ya msanii GAZA kafanya na Madee! Ngoma inaitwa NANII! Kwenye hiyo ngoma Gaza na Madee "wamekutaja!"
 
Hahaha we ndo yule wa kuitwa bashite?
 
Makurumla Primary School
Magomeni Mwembechai
Kata ya Ndugumbi
Kinondoni
 
Kuna ngoma mpya ya msanii GAZA kafanya na Madee! Ngoma inaitwa NANII! Kwenye hiyo ngoma Gaza na Madee "wamekutaja!"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hawezi ku naniii mpaka apake naniiii
 
Matare shule ya msingi iko Serengeti, mkoa wa mara, nilimaliza hapo 1975.
 
Aisee kitambo sana KIAGATA PRIMARY SCHOOL huko Mara wilaya Musoma vijijini aisee kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…