Nmependa DP yako [emoji41][emoji41]Green Hill
Ooh vizuriNmependa DP yako [emoji41][emoji41]
Hata mimi nimesoma bomboBombo primary school Tanga
Mie ndie fredIdetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
π²π²π²
Hebu tuzikumbuke Shule zetu za msingi tulizosoma miaka hiyo na Jambo gani ambalo hutalisahau?
Aidha si vibaya ukasema ulikuwa unashika Nafasi ya ngapi.
Karibuni!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
DaaaaahKibwabwa Primary school iringa chini ya mwalimu mkuu Kitola na mwalm Sangu
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππLipumburu PS. Mwl Nanchetta. Hakuna aliyefaulu ST7. Nikaingia UPE, nastafu mwakani..
mnanaswa kwenye mitego simple kiasi hicho?