Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Katebenga P/Schhool Kata Nyakato,Wilaya Bukoba.....1993-1999
 
Idetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
Mie ndie fred
 
Mwongozo primary school nikahamia matekela ipo matengo huko wanafunzi shule nzima hawawezi kuongea kiswahili mm tu ndyo nilikuwa role modal wao nikachaguliwa kuwa kaka mkuu
Hebu tuzikumbuke Shule zetu za msingi tulizosoma miaka hiyo na Jambo gani ambalo hutalisahau?

Aidha si vibaya ukasema ulikuwa unashika Nafasi ya ngapi.

Karibuni!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom