MuganyiziMushiMwaipopo
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 359
- 691
OLYMPIO PRIMARY SCHOOL shule iliyokuwa inaongoza kwa kuwa na wasichana wazuri Dar nzima na Tanzania
Mwana OPS 😎OLYMPIO PRIMARY SCHOOL shule iliyokuwa inaongoza kwa kuwa na wasichana wazuri Dar nzima na Tanzania
Nawe umesoma paleMwana OPS 😎
Hahahaha, Mjomba tubaki wasomajiSisi wa MEMKWA tunakomenti wapi[emoji23][emoji23]
Ndio mkuuNawe umesoma pale
Mwaka upi?Ndio mkuu
Huko Mkili ndio watu wana maisha mazuri!??Haya BamboNilimaliza 2000s Shule ya Msingi MKILI, Wilaya ya Nyasa, mkoa wa Ruvuma [emoji15].
Tangu darasa la Kwanza mpaka la Saba mimi ni namba moja tu [emoji12], nilifaulu peke yangu wenzangu wakafeli.
Nikasoma O levek, Advance, Chuo mpaka Masters, ila sasa hivi wale wenzangu waliofeli std 7 wana maisha mazuri na furaha kwenye familia zao kuliko mimi niliyesoma ambaye bado nahangaika na maisha huku mjini.
Nimewahi pita maeneo hayo....ni Shule flani ya masistast john bosco academy..... musoma hiyo