Segito huyo!Idetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
Anatafutwa mtu humuNaona siku hizi nyuzi Za kutaja unapoishi,uliposoma walimu unaowakumbuka zimekuwa nyingi.Isije ikawa mbinu ya kudukuana
Kibondo KigomaMwalimu Mkuu sie tulimwita "Ticha Bigi" utajaza mwenyewe huo mkoa!
Nilishastukia haka ka mchezo nyuzi Za kijinga jinga lakini zinamaanisha somethingAnatafutwa mtu humu
Shule ya msingi ufala
_ where ever you are remember me_
Na atapatikana tu.Anatafutwa mtu humu
Hahaha mm nahurumia sana mkojo wangu mkuuNa atapatikana tu.
Naona w wanafunguka tu MkuuNilishastukia haka ka mchezo nyuzi Za kijinga jinga lakini zinamaanisha something
Unahofia utafkiri we ni muhalifuNaona siku hizi nyuzi Za kutaja unapoishi,uliposoma walimu unaowakumbuka zimekuwa nyingi.Isije ikawa mbinu ya kudukuana
We dogo utafutwe unapesa?Anatafutwa mtu humu