dularwambo5
Member
- Sep 3, 2017
- 46
- 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GeorlineKwa ambao tuna taraji kuwa baba kijacho na Mama kijacho tungependa kuchagua jina zuri la mtoto wa kike na wa kiume.
karibuni
aeiou
Good thinking Comrade!
Nimekusoma Comrade, You think great.Na upo very proud! Wabongo safi sana
I second You Comrade!Kitwana
Heri
Baraka
Neema
Malaika
Malkia
Nuru
Furaha
Bahati
Somoe
Mwantumu
Mwanate
MwanaHeri
MwanaBaraka
Titti
Kwani shida ipo wapi?
Wewe ukiona haujapendezwa na hili jina we pita kimya kimya halafu utoe la kwako unaloliona lipo sawa.
Heshima Comrade?.Majina huwa yanaamua hatima ya watu maishani sijawahi kuona wenye majina ya matatizo, shida au dhiki wametoboa maishani kamwe...but muite David, Davy, Davuer ,Daud, Daoud, hawa watu huwa wana karisma ya kupendwa na watu na Mungu pia. Ni watawala na wapambanaji wazuri kwa maana ni iron man wenye mioyo migumu na laini kulingana na muktadha husika utavyowaongoza.
Kwanini unatumia Lugha iso na staha katika Baraza?. Kwani kuuliza ni ujinga?.wewe ni Mpuuzi kweli yaani uzae wewe Jina ulitake kwetu? nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria
Brain is the beatiful part of the body. Beauty is in the eye of the beholder.Atakuwa alikuwa mzuriii manake hakunaga joanah mbaya
Kwahio mzee unataka kunishurutisha niombe radhi? Hahahahaa afu utawaambiaa mods sioo.....Kazaa yeye au mimi? au kasaidiana na mods kuzaa??...kuzaa mzae nyiee keroo mtupe sisi HahahaaKwanini unatumia Lugha iso na staha katika Baraza?. Kwani kuuliza ni ujinga?.
Mleta mada kaleta ombi/ushauri. Kumuita Mpuuzi si sahihi kabisa, na ufanye kumuomba radhi. La sivyo nitaomba uongozi ukuchukulie hatua za kinidhamu haraka iwezekavyo.
Iishi "signature" yako. Usikwaze, usiudhi na kadhalika. Pia hutokwazwa, hutoudhiwa pia.