Taja kampuni kama unaijua: Bei ya simu laki 4, kioo kikivunjika gharama yake laki 3 na osheee

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Naona niendelee kutumia infinix na TECNO πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Na ukiweka kioo hakiwi tena kama mwanzo, matatizo ya screen ku stack yanaanza. simu inaita kupokea unaanza kusugua screen wapi haiungi
 
Watu sasa wanavusha tu kutoka X hadi JF
 
Na ukiweka kioo hakiwi tena kama mwanzo, matatizo ya screen ku stack yanaanza. simu inaita kupokea unaanza kusugua screen wapi haiungi
Baaaas kishwa habari yako πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…