maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Vipi kuhusu wale wa Vita vya majimaji ?..Makamanda walioongoza vita vya Kagera hawajatambuliwa na kuenziwa vya kutosha.
Vipi kuhusu wale wa Vita vya majimaji ?
Kula papai ww.Au unatangaza biashara maaana watu siku hizi kuleft group ni swala dogo.Jamaan tumbo linaniuma skuu ya nne sijapata choo hata kutoa upepo nkra kitu kdogo linajaa
Feld marshal John okelo baba wa taifa la zanzibarWanaJF,
Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui sababu mfumo uliwaficha. Hii ni sababu aliyepo madarakani ndio huwa anaandika historia anavyotaka isomeke miaka ya mbeleni.
Sisi kama wanaJF tunaweza tukawaonyesha wengine viongozi ambao walisaidia nchi yetu na hata kuwatambua posthumously.
Nawasilisha
Hivi baada ya mapinduzi alishika usukani hata kidogo?Okello Rais wa Zanzibar.