jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Sipend waislam wanavyoidharau vita vya majimaji..historia iliyoficha Ile vita ilikua ni jihad,mjeruman alidhamiria kuufuta uislam kuanzia iringa mpaka huko songea..kiukwel mjeruman Cha moto alikiona haswaaaa ila teknolojia ilimbeba mjerumani(matumizi ya bunduki vs vishale). Wale akina songea mbano wote walikua kwenye jihad ya kuupigania uislam...
Kufupisha stori hawakuwa Wana sema maji Bali walitaja jina la Allah
Mshindi ndiye anayeandika historia
Note. hii ni ndoto
Utaacha lini upotoshaji na uongo,