Taja kiongozi ambaye hayupo kwenye historia yetu unataka nchi imtambue

Mwamba Samwel SITTA na Job Ndugai na Daniel Chongolo
Hao wame kufa Kifo kitakatifu, BASHITE kazini
 
Hapo weka heroes wa enzi za kupigania uhuru.

Pia weka wale waasisi wa mfumo wa vyama vingi, hawa walikuwa ni watu na nusu.

Maana kupitia hao tumekuwa na forum za mijadala huru kama hii jF.

Enzi za chama kimoja ilikuwa ni dhambi kuu kuongelea mambo ya chama na serikali.

Maana ni km walijitoa kwa maslahi ya walio wengi maana japo walikuwa wasomi wasingeweza kupata kazi baada ya pale.
 
WanaJF,

Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui sababu mfumo uliwaficha. Hii ni sababu aliyepo madarakani ndio huwa anaandika historia anavyotaka isomeke miaka ya mbeleni.

Sisi kama wanaJF tunaweza tukawaonyesha wengine viongozi ambao walisaidia nchi yetu na hata kuwatambua posthumously.

Nawasilisha
Tofautisha "kiongozi" na "mwanasiasa;" Inawezekana ulitaka kusema mwanasiasa lakini ukasema kiongozi.
 
Siku serikali yangu itakapomtambua rasmi katibu mkuu wa kwanza wa TANU, Ndg Oscar Kambona ndiyo nitaamini iko fair
 
Sipend waislam wanavyoidharau vita vya majimaji..historia iliyoficha Ile vita ilikua ni jihad,mjeruman alidhamiria kuufuta uislam kuanzia iringa mpaka huko songea..kiukwel mjeruman Cha moto alikiona haswaaaa ila teknolojia ilimbeba mjerumani(matumizi ya bunduki vs vishale). Wale akina songea mbano wote walikua kwenye jihad ya kuupigania uislam...

Kufupisha stori hawakuwa Wana sema maji Bali walitaja jina la Allah

Mshindi ndiye anayeandika historia

Note. hii ni ndoto
Kwahiyo Allah aliwakimbia
 
WanaJF,

Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui sababu mfumo uliwaficha. Hii ni sababu aliyepo madarakani ndio huwa anaandika historia anavyotaka isomeke miaka ya mbeleni.

Sisi kama wanaJF tunaweza tukawaonyesha wengine viongozi ambao walisaidia nchi yetu na hata kuwatambua posthumously.

Nawasilisha
BIBI TITI MKOMBOZI WA TAIFA
 
Tofautisha "kiongozi" na "mwanasiasa;" Inawezekana ulitaka kusema mwanasiasa lakini ukasema kiongozi.
Kiongozi yoyote kwenye nyanja zote za kumkomboa mtanzania, hasa yule anaye-risk maisha yake
 
Jamaan tumbo linaniuma skuu ya nne sijapata choo hata kutoa upepo nkra kitu kdogo linajaa
Chukua ukwaju nusu kilo,uoshe vizuri.Kisha utumbukize kwenye kwenye sufuria yenye maji lita moja.Uache uchemke kama dk 15 hivi kisha ipua,chuja vizuri kisha weka sukari kidogo ili kuongeza; acha juisi ipoe kidogo.Kunywa hiyo juisi tumbo likiwa tupu kabisa.Hii juisi itakwenda kuvunjavunja ugumu woote na tumbo kuunguruma.Hakikisha huendi kazini siku hiyo maana utatoa sana gesi/hewa.Ndani ya masaa 24 tu utakwenda 'kuteremsha' mzigo wa kutosha.
 
Kiongozi yoyote kwenye nyanja zote za kumkomboa mtanzania, hasa yule anaye-risk maisha yake
Kiongozi wa nini. Kuna viongozi wa migomo, viongozi majambazi, viongozi wa madanguro etc.
 
Back
Top Bottom