Taja kiongozi ambaye hayupo kwenye historia yetu unataka nchi imtambue


Utaacha lini upotoshaji na uongo,
 
Kwan history hio si imeshaelezwa sana. Aliyeongoza mapambano kwa kuhamasisha ni Abdulrauf songea Mbano
 
Majinge,Kusaga,Kulebha,Mukama na Manumbu.
 
Huyo bibi titi mbona tunamfahamu na historia yake inafahamika mpaka barabara imepewa jina lake.

Sasa sijui mleta mada unataka hao watu wako waenziwe namna gani?

Au unataka tuwe tunakwenda kuhiji kwenye makaburi yao.

Wabongo kwa kupenda sifa tumezidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…