Chukua ukwaju nusu kilo,uoshe vizuri.Kisha utumbukize kwenye kwenye sufuria yenye maji lita moja.Uache uchemke kama dk 15 hivi kisha ipua,chuja vizuri kisha weka sukari kidogo ili kuongeza; acha juisi ipoe kidogo.Kunywa hiyo juisi tumbo likiwa tupu kabisa.Hii juisi itakwenda kuvunjavunja ugumu woote na tumbo kuunguruma.Hakikisha huendi kazini siku hiyo maana utatoa sana gesi/hewa.Ndani ya masaa 24 tu utakwenda 'kuteremsha' mzigo wa kutosha.