Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

Nimekasevu kabisa haka kaposti maana sina uhakika.... unaweza kubadili mawazo uka-delete....

Afu nimekugongea ka-love. Kama huamini nenda kakague....

Wewe ni mtu wa kwanza kunifagilia hapa JF.... Hakika hii ni tiketi yangu ya kwenda mbinguni

Barikiwa sana asee
Sibadili mawazo hiyo ni kweli kabisa.

Asante kwa kunigongea ka-love. Acha niscreenshot maana unaweza badilisha ukaweka thumbs up.
 
Hapana mzeya. Kugongewa ni kitu normal kabisa kwanza wala hupaswi kuwa na wivu pale mbususu ya mkeo inasasambuliwa. Sii mali yake
💯🤝 ukikumbuka pia na wewe unagonga mbususu za wanawake wengine na kuna vidume vinawahudumia ndo kabisa hata haikuumizi
 
Mama amoni - Huwa-anaandika makala nzuri mnoo, zilizobeba falsafa ndani yake,
Zilizosheheni Mantiki!!
 
Back
Top Bottom