Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

In all seriousness though, you are extremely funny.
Being able to bring pleasure and happiness to those around you is a great skill to have. You can make people laugh and It's impossible not to like you.

Thank you, Asprin.
Nimekasevu kabisa haka kaposti maana sina uhakika.... unaweza kubadili mawazo uka-delete....

Afu nimekugongea ka-love. Kama huamini nenda kakague....

Wewe ni mtu wa kwanza kunifagilia hapa JF.... Hakika hii ni tiketi yangu ya kwenda mbinguni

Barikiwa sana asee
 
Bujix2 mi umenisahau, anyway ulowataja umewaelezea mubashara wote lazima tuwe na mtazamo kukubali.watu kwa yale.mazuri.yao sio mpaka siku.waondoke
 
Back
Top Bottom