Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

Surely, He z smart
 
Huyo Kasie ana maneno ya mahaba sana na Mtundu mtundu hazeeki...anapandisha sana nyg

Ila hapo kuna mmoja umemtaja ni kichaa kabisa, yaani ana ule utahira wa kupanda na kushuka
 
You are obsoletely correct, Da vinci namkubali sana sana .Hawa watu ningekuwa na pesa ningewakusanya wote tukafanya kitu kikubwa.
 
Ukweli wa mambo kila binadamu Allah kamjalia na kipaji chake ikiwa kinaonekana au hakionekani ,Bujibuji tena usije kumdharau bin adamu wa aina yyote hata yule chizi anaekota makopo ujue ana kipaji chake kwa hivyo haina maana kama jina lako halijaandikwa ukajiona wewe huna maana Binadamu sote hatuko sawa .
 
Labda tu kwa yule mke wa mzabzab ,ana kipaji cha makasiriko. Ngojea nimtag Kelsea ,au acha tu[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…