Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Eti Tanzania itakua kiuchumi kwa kuwa na Viwanda vinavyotumia malighafi zote kutoka China..
 
Mwongo nambari moja. Uwepo wa majini ni nadharia potofu sawa na uwepo wa Mungu.
 
Mwongo nambari moja. Uwepo wa majini ni nadharia potofu sawa na uwepo wa Mungu.
mwongo Nini nimetumia Lugha nyepesi nieleweke Hao mnaoita majini hawapo kweli ila hapo nimetumia kama mfano Mtu aelewe sio wote wasomaji humu wanaweza ng'amua tunapowataja Alliens jinsi walivyo lazima utolee mfano wa kitu rahisi kichwani mwake iwe rahisi kueleweka,
Kipi hujaelewa?
 
Kama Dumas the terrible haamini uwepo wa(kwa mujibu wa yeye) kiumbe kinacho itwa Mungu.
hahahahah wewe jamaa umenifurahisha Sana,kusema huamini kama siamini kiumbe anayeitwa Mungu au sio?
Amini tu Mtu wangu kwamba siamini kama hayupo maana Mimi nimekuja kuthibisha kua siamini na yeye Mungu aje akanushe hapa kwamba yupo asipokuja basi kuto amini kwangu ni kweli!
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)

Kuaminishwa eti Yesu alikufa na kufufuka ni utapeli wa kiwango cha PhD
 
Tunajenga kwa pesa zetu kumbe Mwendazake kakopa til.71 😄😄 na hali Hali halisi iko hivi 👇

 
Usishone nguo usiku ni umaskini au usifagie usiku harafu ukatupa nje uchafu, umetupa bahati au utajiri😁
 
Kila kijiji kupewa milion50
Serikali haikukosa hela za kukipa kila kijiji milioni 50..
Tanzania ina vijiji roughly 12000..
ukipga hesabu hapo ni bilioni 50 tu ingetosha kugawa hzo hela.

Ila uzoefu ulikuja kuonyesha baadae hizo zingekuwa kwny risk kubwa ya kuliwa au kupotea.

Shabaha ya ahadi ile, ilikuwa ni kupelekeka hzo hela chini ya ofisi ya mtendaji wa kijiji ili watu wapate fursa ya kukopa.

Serikali ilibaini baadae kwamba:
milioni 50 ni ndogo mno kutekeleza lengo lililokusudiwa kwa hiyo ni heri kupeleka mradi in exchange of the said cash..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…