mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Huwa unamuona around? Ukute mtu hata kashakufa [emoji23][emoji23] halafu we unawaaaza.
Mkuu sema ukweli basi, maana mahali sasa ni headache, nasi tukimbilie uchagani tukaoe.Katika vitu siwezi kufanya Ni kulipa mahari, sisi wachaga mahari sio kitu Cha maana Ni hiari yako
airtel wanakata baba,labda kama hawakati kwakoHata airtell mbona hawakat mkuu??
lililoongezwa na watu flani na genge laoLipi hilo?
kumbe wahanga tuko wengiairtel wanakata baba,labda kama hawakati kwako
mimi ikiingia hata buku tu nikisema niwahi ninunue hata salio
tayari wamesha i block,unaskia "asante kwa kupunguza deni" kiasi kilichobaki......
ππππmkuu nimecheka vibaya mnoKijana wangu ananidai 150000
Ninao wadai
Mshiriki kanisani 500000
Mzee wa kanisa 150000
Class mate 150000
Hakuna dalili ya kulipwa ila Mimi nitalipa mwisho wa mwezi
ππππππHivi myplusbee hujaona madeni yangu huku au ndio unajikausha
Hahahaa, madeni gani baby?! Unajua nilipotea JF wiki kadhaa, na hata niliporudi, sikurudi kama kurudi, nikawa nachungulia tu nakimbia bila kuangalia mada, kama ambavyo nilivyo njiani kukimbia hivi sasa!!Anyway, narudi J5, na nitayasaka madeni yako na nitakulipia yote mpenzi wangu!!Hivi myplusbee hujaona madeni yangu huku au ndio unajikausha
Deni la Taifa tunadaiwa kila mtanzania Tshs 581,818.18/=Lipi hilo?
mkuu unatudanganya asee mbona naskia imepanda au ni update ya lini iyooDeni la Taifa tunadaiwa kila mtanzania Tshs 581,818.18/=
Hii ndio hesabu niliyo nayo mimi, unanikosea heshima kusema nawadanganya, wewe kama unayo figure kamili weka tu hapa, lengo letu ni kuelimishana, mimi siwezi kukupinga eti kwa sababu siijui hesabu uliyoweka.mkuu unatudanganya asee mbona naskia imepanda au ni update ya lini iyoo
πππππHii ndio hesabu niliyo nayo mimi, unanikosea heshima kusema nawadanganya, wewe kama unayo figure kamili weka tu hapa, lengo letu ni kuelimishana, mimi siwezi kukupinga eti kwa sababu siijui hesabu uliyoweka.
zero IQ lete data kamiliπππππ
Kumbe!Deni la Taifa tunadaiwa kila mtanzania Tshs 581,818.18/=