Taja mambo mazuri yaliyoasisiwa na Kanisa Katoliki na hadi leo yanatumika maeneo mbalimbali na yenye manufaa kwa Wakiristo na wengineo duniani kote

Taja mambo mazuri yaliyoasisiwa na Kanisa Katoliki na hadi leo yanatumika maeneo mbalimbali na yenye manufaa kwa Wakiristo na wengineo duniani kote

Kalenda inayotumika duniani kote iliasisiwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Grogory IV
Mifumo yote ya utoaji haki duniani iliasisiwa na Roma ndipo ikaja misemo maarufu kama 'Roma lacuta, causa finita"
Mifumo yote ya Elimu kwa njia bora na za kisasa ziliasisiwa na Roma
Mifumo mingi ya kijeshi, kiulinzi na kiusalama kuanzia mashirika ya kijasusi na kiintelijensia Yameasisiwa Roma
Wajesuit ndilo shirika lenye taasisi kubwa za kielimu duniani kote kupitia vyuo na shule zao mfano Loyola
Katoliki ndilo shirika pekee lisilo la kiserikali (NGO) linalotoa huduma za kijamii kama shule, afya n.k Kuliko shirika,kampuni au taasisi yoyote duniani
Katoliki ndiyo waasisi wa Mifumo yote ya kidini na filosofia zake
Roma ndiyo waasisi wa mifumo yote ya kiutawala na filosofia zake ndizo zinazotumika
Ndilo kanisa pekee lenye utajiri usiweza kuhesabika, na ukubwa wa ardhi usioweza kukadirika.
Ndiyo kanisa kongwe zaidi duniani
Ndiyo taasisi pekee ya ki'Mornachy' iliyodumu kwa miaka zaidi ya miaka 2000 bila kutetereka
Ndiyo waanzilishi wa 'Number system' kwa herufi zao za kirumi
Lugha nyingi ikiwemo English ni zao la lugha ya kilatini
Mambo mengi ya anga na wataalam wengi wa astronomy walianza Roma, watu kama mamajusi, Galileo galilei na wataalam wengi chimbuko lao ni Rumi
Kwa kifupi mbinu zote za kilimo, mfano crop rotation, engineering, science & technology na sanaa yote ya dunia ilianzia na kuvumbuliwa Roma karne nyingi zilizopita.
.......................
......................
....... nk.
Ngoja kobazi zije hapa uone watakavyofika kushambulia
 
Kwa maana hiyo mnataka kusemaje? Sisi waadventist tunaruhusiwa kucomment? Maana hakuna dhehebu silipendi kama roman catholic
Waabudu sanamu hao
Wanywa pombe hao
Wala nguruwe hao
Wanaofanya kaz sik ya sabato hao
Hawazingatii sabati ya kweli
Wanathamini matajiri tu
Padri anapelekewa mpka mayai
Kumbe waadventist ni watu gani?wanafuata mafundisho ya nani au wanamuabudu Mungu gani?
 
Ivi lini ndoa zao wataruhusu mke zaidi ya mmoja na pia urahisi wa utoaji wa talaka?
Huko ulipo kila mmoja ana wake zaidi ya mmoja kiasi umekosa wa kukuoa hadi utake catholic wabadili sheria ili na wewe wakuoe?

Funny isn't it 😂😂😂😂
 
Duniani kote ni exaggerating vipi China wanafuata mifumo ya Kanisa Katoliki
Baadhi wa wamecopy na china kama china haiendeshwi na mfumo mmoja mkuu. Mtu aliyeko Macau n Hong Kong U Taiwan na mainland ni binadamu wawili tofauti.
 
To say the least you do not know the Catholic church! It is only in China where the Pope cannot appoint a bishop without approval of the government of China. Catholic church has flourished in Latin America look how poor are their countries?
Approved/Disapproved, who cares! As long as the church is there, and Jesuit priest and other orders can continue spreading Catholic doctrine in China. If you want to talk about religion and economic status of prospective countries, let start with Afghanistan, Khazakstan, Syria, Somalia n.k how many Catholics are there?
 
Back
Top Bottom