Kalenda inayotumika duniani kote iliasisiwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Grogory IV
Mifumo yote ya utoaji haki duniani iliasisiwa na Roma ndipo ikaja misemo maarufu kama 'Roma lacuta, causa finita"
Mifumo yote ya Elimu kwa njia bora na za kisasa ziliasisiwa na Roma
Mifumo mingi ya kijeshi, kiulinzi na kiusalama kuanzia mashirika ya kijasusi na kiintelijensia Yameasisiwa Roma
Wajesuit ndilo shirika lenye taasisi kubwa za kielimu duniani kote kupitia vyuo na shule zao mfano Loyola
Katoliki ndilo shirika pekee lisilo la kiserikali (NGO) linalotoa huduma za kijamii kama shule, afya n.k Kuliko shirika,kampuni au taasisi yoyote duniani
Katoliki ndiyo waasisi wa Mifumo yote ya kidini na filosofia zake
Roma ndiyo waasisi wa mifumo yote ya kiutawala na filosofia zake ndizo zinazotumika
Ndilo kanisa pekee lenye utajiri usiweza kuhesabika, na ukubwa wa ardhi usioweza kukadirika.
Ndiyo kanisa kongwe zaidi duniani
Ndiyo taasisi pekee ya ki'Mornachy' iliyodumu kwa miaka zaidi ya miaka 2000 bila kutetereka
Ndiyo waanzilishi wa 'Number system' kwa herufi zao za kirumi
Lugha nyingi ikiwemo English ni zao la lugha ya kilatini
Mambo mengi ya anga na wataalam wengi wa astronomy walianza Roma, watu kama mamajusi, Galileo galilei na wataalam wengi chimbuko lao ni Rumi
Kwa kifupi mbinu zote za kilimo, mfano crop rotation, engineering, science & technology na sanaa yote ya dunia ilianzia na kuvumbuliwa Roma karne nyingi zilizopita.
.......................
......................
....... nk.