Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Teh Teh Teh Teh!
Zamani ilikuwa hizi mboga mboga wanakula wauswahilini ila ndio vyakula vinauzika mahotel makubwa boss wangu.

✓ Uyoga
✓ Mlenda
 
Tujitahidi kutaja zile za local local huko.. achana na maharage nk nk
 
Back
Top Bottom