Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Nimejifunza msamiati mpya leo.. Pitiku=majani ya maboga!!
 
Hahaha kuuuumbe!
Sasa si mtaje kwa lugha ya kiswahili jamani,

Majani ya maboga yatiwe karanga kwa wali na rost la nyama pembeni, [emoji39]
Yananoge zaidi kwa ugali wa dona uliochanganywa na unga wa muhogo. Tena ni matamu zaidi ukute yamechemhwa tu yakichanganyika na karanga zilizosagwa weeeee
 
Yananoge zaidi kwa ugali wa dona uliochanganywa na unga wa muhogo. Tena ni matamu zaidi ukute yamechemhwa tu yakichanganyika na karanga zilizosagwa weeeee
Kaka mkubwa me na ugali tuna ugomvi wetu wa miaka mingi, nakula ugali kwa Dagaa kuwe na matembele pembeni basi, [emoji39]
Mara ya mwisho kula ugali ni aibu kusema kwenye hadhara, [emoji45]
 
Back
Top Bottom