Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Pituku ni nini?
images (1).jpeg
 
Nani amewahi kutumia hizi;
  • Mswalu
  • maharage/kunde zilizo
barazwa.
  • mchunga
  • msapagulo
  • kihembe
  • limbe (mkono gwa mbuli)
  • unsolele (vi uyoga flani hivi vidogovidogo vyeupe,vinaota mara nyingi kwenye vichuguu)
  • sungwi
 
Back
Top Bottom