bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,205
- 2,905
Ipo ndugu yangu acha dharau wanaojua mpira hawailetei dharau. We unadhani ni timu gani duniani ikiambiwa inatakiwa kucheza na England itachekelea kwamba imepata kibonde?Sasa england kuna timu pale? Hawajaahi ifunga timu kùbwa hivi karibuni...labda frindlies.