Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,452
Reaction score
10,059
me binafsi kuna huyu Madodi nahisi alichezea Ban kwani kuna siku alitukana mods hadharani!
 
FaizaFox na Malaria Sugu sijajua sababu za wao kutoonekana muda mrefu jamvini.
 
Pia wamo Figga nigga, Keren Happuch, Nitonye (Michael Pima). Wamepotea sana hawa watu. Ila Rejao na Matola wamekula Ban
 
MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...
 
MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...
.. Babu, MTM nadhani kaja kivingine, anatumia jina la TIMING. Stuka!
 
Back
Top Bottom