Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

Dua, Mchukia Fisadi, Miela, 50cents, Judy, Mwafrika wa kike, Kanakansungu, Huwa napata mawazo mabaya kuwa wengine labda wameshatutoka, ukizingatia hizi fake IDs za JF inakuwa mbaya zaidi.
 
Hiv m2 umepigwa ban halaf ukaingia na id nyingine na kuna wa2 wanasema wanakumic na ukajitambulisha we ndo fulan uliekula ban mf FF inakuwaje au utalamba ban nyingine!
 
Back
Top Bottom