Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

wengi wamepotea sana wa zamani tumebaki wachache.
Wapi WOS na miss Judy.
 
MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...

Haya majembe sijui yamepotelea wapi jamani?
 
MTM, Acid, De Novo, Carina Ti, Wozoza, Julius, Geoff, Chrispin, Nguli jabali, Sipo, Charity, Naniliu, Carmel, mwenzetu et el. Enzi hizo kulikuwa hakuna xana, cri, xoxo, 2ko, cc...

Babu Asprin, umenionea wapi shemeji yangu Kaizer? tangu nirudi mjini huyu mtu simuoni...nikimuuliza dadangu AshaDii hanipi ukweli....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom